Unordered List

Definition List

Willy Paul, Msanii Wa Injili Kenya Aingia Kazi Ya Kupiga Picha Tata

Willy Paul ni msanii ambaye anainjoy umaarufu zaidi kwa nyimbi zake za kizaki kipya za Injili.

Staa huyu anayejulikana zaidi kwa kibao chake cha 'Najitia Kitanzi', miezi iliyopita alikuwa nchini Marekani kwa kuwa alipata deal na kampuni flani ya modelling.

Ingawa haikujulikana ataanza kazi ya modeling lini, picha zilizorushwa kwa mtandao tayari zimeonyesha kazi hii ameianza.

Cheki baadhi y picha alizoziachilia kwa mtandao.

Willy Paul, Msanii Wa Injili Kenya Aingia Kazi Ya Kupiga Picha Tata Willy Paul, Msanii Wa Injili Kenya Aingia Kazi Ya Kupiga Picha Tata Reviewed by Admin on Tuesday, June 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.