Queen wa kurusha picha za mitego kwa mitandao, Masogange ametupa picha nyingine ya mitego ambayo ni nomaa.
Kupitia Instagram, mdada huyu ameweza kuirusha hii picha.
Katika picha hii mdada huyu ameonyesha kuwa haogopi chochote na ameweza kurusha picha akiwa amevalia kiguo ambacho kinakiuka maadili ya mwafrika halisi.
Staa huyu yuko nje ya bongo kwa ziara zake za kujienjoy.

Tisha: Agness Masogange Arusha Picha Ya Mtego Nomaa
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Friday, May 23, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano