Aliyekuwa rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad amerudi katika stadi yake aliyoizoea ya kupanda magari ya uma akienda kazini.
Rais huyu alijulikana kuwa mtu simple ambaye hakuwa na masharti mengi wakati alipokuwa rais wa Iran.
Sahizi anafanya kazi ya kufunza katika chuo cha University of Science and Technology.
Cheki picha ikimuonyesha akiwa ndani ya basi la abiria:

Aliyekuwa Rais Wa Iran Mahmoud Ahmadinejad Arudia Kazi Yake Yakupanda Mabasi Akienda Kazini
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Tuesday, May 20, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano