Unordered List

Definition List

Wema Sepetu, Aunt Ezekiel 'Wajifurahisha' Kama Wanawake Wanavyopenda

Aunt Ezekiel, Wema Sepetu na Nice Chande baada ya kubugia mvinyo kwa muda mrefu wameamua kupiga pozi pamoja kuashiria kuwa kileo kimeaingia vizuri kichwani (tushukuru hawakufikia kiwango cha Aunt Lulu cha kuvua nguo hadharani)

Siwezi kujua picha hii imemaanisha nini lakini kwa mtazamo tu ni kuwa hawa madada wanajiinjoy vyema kama wanawake wajuavyo.

Katika Instagram, Wema Sepetu aliambatanisha maneno "Scary faces....hihihi!"

 

Wema Sepetu, Aunt Ezekiel 'Wajifurahisha' Kama Wanawake Wanavyopenda Wema Sepetu, Aunt Ezekiel 'Wajifurahisha' Kama Wanawake Wanavyopenda Reviewed by Admin on Sunday, May 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.