Unordered List

Definition List

Kutana Na Mwanamke Ambaye Makalio Yake Hukua Kila Siku

Si siri kuwa wanawake wengi wanatamani kuwa na makalio makubwa. Hii inadhihirishwa kupitia madawa na kemikali kadhaa ambazo zinauzwa madukani kama maji, hata kiasi cha kuwa wengine huoneana gere wakati mwenzao akionekana na makalio makubwa.

Swali ni je hayo makalio yana faida gani? Snura huvutia wanaume kwa shoo zake, Masogange kuwazuzua mafans wake kila wakati, Corazon kupewa hadhi Nairobi nzima, Kim Kardashian kuzungumziwa ovyo.....kiufupi kuwa makalio makubwa kunakupandisha cheo kwa njia fulani.

Lakini kwa mdada Julia, hii baraka imemjeukia kuwa laana. Mdada huyu wa Afrika kusini mwenye miaka 43 anadai tangu mwaka wa 2008 makalio yake yameendelea kukuwa makubwa bila kusimama, jambo ambalo limemtia wasiwasi. Mdada huyu anadai kuwa furaha yake imekuwa kilio huku kila sehemu akipita amekuwa gumzo la mtaa. Kazini amefukuzwa kwa sababu wa ukubwa wa makalio yake. Nguo hazimtoshi labla atengenezewe nguo zake spesheli. Anaishi kama hayuko duniani.

Mdada huyu anakiri kuwa japo kila wakati anafanya mazoezi, mwili wake hautaki kupungua kamwe. Kitanda hawezi kulala na mtu yeyote landa pekeyake tu.

 

Maoni yako yepi hapa?
Kutana Na Mwanamke Ambaye Makalio Yake Hukua Kila Siku Kutana Na Mwanamke Ambaye Makalio Yake Hukua Kila Siku Reviewed by BkuHabari Admin on Friday, May 16, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.