Hizi wiki chache zilizotupita, Kim Kardashian ameshangaza wengi kwa kunyamaza kuhusu harusi yake.
Na sahizi nadhani ishajulikana kwa nini amekuwa kimya muda huu wote: sababu ni kuwa hana fununu zozote kuhusu harusi yake.
Siku ya jana, familia ya Kimye na marafiki waliweza kufanya party ya Bachelorette mjini Paris, lakini chanzo flani kiliiambia TMZ kuwa staa huyu hajui chochote kitakachojiri siku ya harusi yake (itakuwa hii wikendi)
Rapper Kanye West ndiye ameweka mikakati yote kwa usiri ili kumpa saprise Kim Kardashian siku ya kesho Jumamosi ambayo itakuwa harusi ya mwaka.
Lakini kuna udaku kuhusu harusi yake iliyovuja kwa mtandao ikiwemo:
Ok kwa wale mashabiki wa Kimye muda huu wanataka kujua zaidi lakini hio ndio ripoti pekee iliyovuja. Ni kesho tu harusi yenyewe itakuwa live. Tegea humu ndani tutakujuza mapya kuhusu harusi ya wawili hawa inavyojiri

- Harusi yao itabakia kufanyika Vasailles Palace
- Post wedding itafanyika Belvedere Fort mjini Florence, wahudhuria hawajui sehemu ya malazi wakiwa Florence
- Haijulikani watasafiri kivipi kutoka Ufaransa hadi Italia kwa hio post wedding
- Kanye ameplan kuwatumbuiza wote watakaofika Florence, lakini hakuna hata mmoja anajua hio siku itakuwaje
Ok kwa wale mashabiki wa Kimye muda huu wanataka kujua zaidi lakini hio ndio ripoti pekee iliyovuja. Ni kesho tu harusi yenyewe itakuwa live. Tegea humu ndani tutakujuza mapya kuhusu harusi ya wawili hawa inavyojiri
Kim Kardashian Hajui Chochote Kuhusu Harusi Yake. Kanye West Ndiye Ameshika Usukani
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Friday, May 23, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano