Unordered List

Definition List

Jay Z Na Solange Waonekana Wakifanya Shpping Pamoja

0513-jay-z-solange-knowles-1

Najua hutoamini lakini huu ndio ukweli, Jay Z na Solange Knowles wamenaswa wakifanya shopping window shopping pamoja.

Hii ilitokea siku moja tu baada ya video ile yao ya utata kuwekwa wazi. Kulingana na chanzo cha kutoka TMZ kinadai kuwa wawili hao walionekana Manhattan kwa Mr. Flawless wakifanya shopping za vikuku (jewelry) za wanawake. Kwa muda wa dakika 20 wawili hao walionekana bila matatizo yeyote huku wakielekezwa na mwenye duka, Greg Yuna a.k.a Mr. Flawless ndani ya duka hilo.

Jay Z na Solange hawakuongea zaidi na hawakuweza kununua chochote. Walikuwa tu wakifanya window shopping na pia kuonyesha dunia kuwa hakuna uhasama kati yao.
Jay Z Na Solange Waonekana Wakifanya Shpping Pamoja Jay Z Na Solange Waonekana Wakifanya Shpping Pamoja Reviewed by BkuHabari Admin on Wednesday, May 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.