Harusi ya Kim na Kanye West inatarajiwa kuwa gumzo la mwaka ifikapo siku ya tarehe 24 huu mwezi.
Tayari Kim na Kanye wako nchini ufaranza kujianda andaa kwa siku hiyo huku wageni wanaotarajiwa kuhudhuria sherehe hio tayari wakiwa wameanza kuwasili.
Katika mtandao wa Instagram, mamake Kim Kardashian, Kris Jenner aliweza kuuambia ulimwengu mzima kuwa amewasili jijini Paris.
Aliweza kupiga picha akiwa katika gorofa ya Aiffel Tower na kuweka maandishi
"Oh Hiiiiiiiiiii PARIS!!!!!" aliandika "We're HEREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!"
Cheki picha zenyewe:

Mamake Kim Kardashian Awasili Paris Kwa Harusi Ya Kimye
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Wednesday, May 21, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano