Unordered List

Definition List

Kumbe Lulu Bado Amtamani Justin Bieber

 
Lulu Michael bado yupo single.

Nasema hivyo kwa sababu staa huyu kawaia yake hukumbwa na sakata nyingi ambazo wakati mwingine zahusiana na wizi wa mapenzi.

Lakini kama alivyosema tangu zamani, mwanadada huyu tunda lake liko kwa Justin Bieber na round hii amedhihirisha kuwa bado anamtamani staa huyu wa Marekani.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Lulu Michael aliweza kumuomba Diamond Platinumz, ambaye yuko nchi za Ulaya kumsalimia Bieber kwa niaba yake.

Lulu alikuwa na haya yakusema:
...Na mwisho ya yote Kama ikitokea ktk mhangaiko yako yya hulo ukakutana na @justinbieber REMEMBER ME....!vooo yani...all ur making us proud

 
Je Lulu matumaini yake yatakuwa ya kweli?
Kumbe Lulu Bado Amtamani Justin Bieber Kumbe Lulu Bado Amtamani Justin Bieber Reviewed by BkuHabari Admin on Friday, May 16, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.