Unordered List

Definition List

Ciara Ajifungua Mtoto Wake Na Rapper Future

Siku ya Jumatatu itakuwa kumbukumbu kwa msanii Ciara baada ya kujifungua mtoto mvulana.

Msanii huyu ambaye mpenzi wake ni Future, ameweza kujifungua mtoto wake wa kwanza jijini Los Angeles wakati wa asubuhi.

Ciara ni rafiki mkubwa wa Kim Kardashian na mwezi mmoja kabla kujifungua, Kim aliweza kumtembelea kumjulia hali na kurusha picha akiwa yeye na na Ciara pamoja na dadake.



Ciara Ajifungua Mtoto Wake Na Rapper Future Ciara Ajifungua Mtoto Wake Na Rapper Future Reviewed by BkuHabari Admin on Tuesday, May 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.