Nairobi ni mji ujulikanao kuwa wa furaha lakini hivi sasa umeingia doa kuwa mji wa karaha.
Haijapita wiki mbili kabla magari mawili kulepuliwa na hivi sasa ni kuwa tayari kumerushwa bomu gatika gari aina ya matatu na nyingine katika soko.
Habari zinazofikia vyombo vya habari muda huu ni kuwa watu wanne tayari washaripotiwa kupotesha maisha yao kupitia huu mkasa.
Haijabainika ni akina nani ndio wahusika lakini serikali imeanza kuweka mikakati ya kutatua usalama.
Nairobi Kunani? Mabomu Mawili Yalipuka Soko La Gikomba
Reviewed by Admin
on
Friday, May 16, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano