Lady Gaga amesitisha shoo zake mbili za artRAVE kwa sababu ya kuugua ugonjwa wa Ursula.
Staa huyu mwenye utata amewaahidi mashabiki wake wasiwe na wasiwasi kwani atarudi kufanya shoo zake ila wasiwasi.
Katika akaunti yake ya twitter siku ya alhamisi aliweza kufunguka kuwa hatoweza kupiga shoo sababu sauti yake imepotea.
"Im devastated im unable to perform this week. Ursala took my mermaid voice. Ive come down with horrible Bronchitis."
Ugua upone utupe vioja)
Lady Gaga Augua Ugonjwa Wa Ursula, Asitisha Ziara Zake
Reviewed by Admin
on
Friday, May 30, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano