Mtoto wa Eminem Hailie JadeScott Mathers amekuwa mkubwa sasa. Huwezi kuamini kama mdada huyu ndiye aliyekuwa katika video ya Slim Shady ya “My Dad’s Gone Crazy”. Amekomaa sahiz naona waweza kuwa na fursa ya kumshobokea kama waweza. Cheki picha zake
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano