Siku ya Jumatatu jijini Nairobi kulikuwa na kisanga ambacho wanaume walianza kampeni ya kuwavua wanawake nguo zao na kuwaanika uchi mnyama kwa kuvalia nguo za kutamanisha.
Kupitia mitandao ya kijamii, jamaa mmoja aliyejitambulisha kama Harry Bayo, ambaye jina lake la ukweli ni Haroun Mayienda, alifunguka kuwa yeye ni miongoni mwa mashabiki waliomvua mwanamke huyo nguo bila huruma.
Hii ndio post ya facebook aliyojitambulisha nayo
Maoni yako ni yepi kuhusiana na swala zima?

Wahusika Waliomvua Mwanamke Nguo Zake Kayole Jijini Nairobi Wajianika
Reviewed by Admin
on
Thursday, November 20, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano