Unordered List

Definition List

Nuh Mziwanda Akubali Kuwa Hupigwa Na Mpenzi Wake Shilole...Lakini Si Vile Unavyofikiria Wewe

Stori: Imelda Mtema


MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa zimeenea kuwa huwa anapigwa na Shilole pindi anapokosea lakini ukweli si kupigwa ‘live’ bali ni kupigwa kimahaba.

“Jamani kupigwa wanakozungumzia watu sielewi lakini mimi ananipiga kimahaba, wanaosema kuwa mpenzi wangu ananipiga washindwe, watuache kwa rahazetu,” alisema Shilole.
Nuh Mziwanda Akubali Kuwa Hupigwa Na Mpenzi Wake Shilole...Lakini Si Vile Unavyofikiria Wewe Nuh Mziwanda Akubali Kuwa Hupigwa Na Mpenzi Wake Shilole...Lakini Si Vile Unavyofikiria Wewe Reviewed by Admin on Monday, November 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.