Lady Jaydee hajabadilisha jina la lounge yake kutoka Nyumbani Lounge hadi MOG peke yake. Machozi Band kwa sasa nayo itakuwa ikijulikana kama ‘Lady Jaydee and the Band!’
“Tumeondoa kulia,” Lady Jaydee amekiambia kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio. Hii imekuja wakati ambao inasemekana ameachana na aliyekuwa mumewe Gadner G Habash.
Je kuna ukweli wowote kuwa anabadilisha majina ili kumsahau mumewe?
Lady Jaydee Abadilisha Majina Ya Biashara Zake. Hivi Anamsahau Mumewe Gardner?
Reviewed by Admin
on
Monday, November 03, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano