Unordered List

Definition List

Picha: Baby Madaha Na Isabela Watomasana Kweupe Baada Ya Pombe Kuwakolea

Stori: Imelda Mtema

HAMNAZO? Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wamenaswa wakifanya vitendo vichafu maeneo ya Tabata jijini Dar baada ya kupiga masanga ya kutosha mwilini[.http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/madaha-isabela-wafanya-ufuska]



Kwa mujibu wa chanzo, Baby na Bella walifika maeneo hayo juzikati wakiwa wazima kabisa lakini baada ya kufakamia pombe kwa kasi ndipo walipoanza kufanya madudu huku mchumba wa Bella, Luteni Kalama, akiwakimbia na kuwaacha wenyewe. “Walianza kushikanashikana kama wanasagana, wakapakatana huku wakiwa na chupa za pombe wakicheza kwa hisia za kimahaba kama mtu na mtuwe, yani Kalama anatakiwa ajiongeze vinginevyo mkewe mtarajiwa ataharibikiwa,” kilisema chanzo.
Picha: Baby Madaha Na Isabela Watomasana Kweupe Baada Ya Pombe Kuwakolea Picha: Baby Madaha Na Isabela Watomasana Kweupe Baada Ya Pombe Kuwakolea Reviewed by Admin on Saturday, November 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.