Kama wewe ni mtumizi sugu wa kitumizi cha Whatsapp bila shaka umeanza kushudia kuna utofauti flani kwa jumbe unazozituma kwa marafiki zako.
Well, kulingana na Whasapp ambayo inamilikiwa na Facebook, sasa kuna ishara mpya ambayo inaonyesha tiki mbili zenye rangi ya hudhurungi aka blue. Je wajua matumizi yake?
Kulingana na utumizi wa Whatsapp ni kuwa ukiona meseji yako ulioituma inaonyesha tiki mbili zenye rangi ya bluu basi ujue ujumbe wako umepokelewa na umesomwa.
Awali ilikuwa ni ikionyesha tiki moja kuashiria ujumbe wako umetumwa, tiki mbili kuaishiria ujumbe wako umefika, na sasa tiki mbili zenye rangi ya hudhurungi kuashiria ujumbe umesomwa.
Kuweza kuona huduma hii lazima utumie kitumizi kpya kabisa cha Whatsapp, yaani ufanye kuapgrade kwa current verzion ya Whatsapp.

Kitumizi Cha Whatsapp Chazindua Mtindo Mpya. Hivi Umeona Mabadiliko Yoyote Mapya?
Reviewed by Admin
on
Saturday, November 08, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano