Unordered List

Definition List

Ray C Aja Na Mwamko Mpya, Soma Alichokiandika Hapa


“Ray C The Singer is Back,” ameandika muimbaji huyo kwenye Instagram. “Napenda kuwajulisha mashabiki kuwa kuanzia sasa muda wowote,saa yoyote,dakika yoyote,siku yoyote kuanzia sasa Single yangu mpya MshumMshum/Walimwengu itaanza kusikika kwenye simu zenu plus kwa wale wapenzi wa mitandao Kama Mimi ya Facebook,Twitter,Instagram,Google,YouTube,blogs na websites mbalimbali mtaweza…..Kwa mashabiki wangu wa ndani na nje ya nchi mlichokuwa mkisubiri tayari kishamalizwa!!!!Kazi kwenu………Stay Tuned for moreinfo……Love u guys…mmmmwaaaaah!i miss my beautiful voice too……I jst can’t wait to sing live for u guys
Ray C Aja Na Mwamko Mpya, Soma Alichokiandika Hapa Ray C Aja Na Mwamko Mpya, Soma Alichokiandika Hapa Reviewed by Admin on Thursday, November 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.