Staa anayeaminika kuwa ndiye wakili wa kwanza kuwa na makalio makubwa zaidi Afrika Mashariki amefunguka kuwa finally amepata mshkaji ambaye anamtuliza moyo wake.
Kupitia akaunti yake ya kijamii ya Instagram, Corazon Kwamboka ameweka wazi kuwa amechumbiwa na jamaa ambaye kila akimuona roho yake (siongei kumhusu Hermy B hapa ).
Kulingana na mdada huyu, amefunguka kuwa amepata mpenzi kutoka Afrika Magharibi, jina lake amelibana na bado hayuko tayari kumweka hadharani...anyway nani hamjui Corazon Kwamboko? Mwanzo W. Afrika wamempa jina 'the lady with the biggest UKWU'
So wale wanaume wakware wafahamu kuwa hapatikani tena...ashachukuliwakitamboo

Corazon Kwamboka Afunguka...Jambo Ambalo Utalichukia Maishani
Reviewed by Admin
on
Sunday, November 09, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano