Serena Williams akiwa na ndugu yake wa kike Venus Williams siku ya Ijumaa waliweza kufungua rasmi shule yao ya mafunzo ya michezo ya Venus and Serena Williams Arena Learning Centre iliopo Washington DC, na baada ya hapo aliweza kurusha twet kudai kuwa hawezi kushiriki mashindano ya New York Marathon kwa kuwa makalio yake makubwa hayawezi kumruhusu kukimbia.
Cheki tweets za uchezi alizopata:
Serena Williams Atweet Kuwa Makalio Yake Makubwa Hayawezi Kumruhusu Kushiriki Mbio Za NY Marathon
Reviewed by Admin
on
Monday, November 10, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano