So Diamond anashukiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na The Boss Lady aka Zari baada ya picha za wao wawili zikionyesha wakitomasana bila wasiwasi kuwekwa kwa mtandao wa Instagram.
Je, mafans wa Wema Sepetu wana yepi kuhusu swala zima?
Kinara wa Team Wema Dougiemasta15 huku instagram amefunguka haya kuhusu Diamond:
kiroho safi kaka shemej wala hatugombani..ujue dai ss sote ni waafrica ndio wepesi kuja na conclusion na tunaudhaifu wa kuchunguza ujue shemej wengi tunataman kuamin kuwa hii ni project na surely we will b so proud ila shemej kinamna flan ww huaminiki huwa unakuwa na project nying sana lkn zinaend up kuwa coming soon...mfano JOKATE ukisema mnashot video sawa lkn matokeo yake unashot hadi behind de scene, penny pia ilikuwa project mwisho wasiku ukamprojectisha, wema nae movie matokeo yake mpaka leo producer sion location mmh kwa style hii kwel shemej kukuamin inakuwa ngumu sana cz hiz coming soon afu zinaend up kuwa coming forever zinatuchosha...inshu ya zari mbona kama umetuchakachua kaka shemej kwanz mlituambia mmekutana kweny ndege which its okey mkakaa siti moja means waliwaandalia siti zenu nyie watu mkijua mtapanda ndege moja still fea labda ndege ilikuwa empty so uka move..then katika kupoteza muda labda ndo mkaona mfanye something together still okey haya mkarud bongo muanze project kama project shemej wwunaimba zari designer na pia nimeskia anaimba not sure ss shemej hizi picha mala upo nyuma ya zari mmekumbatiana mala unamkiss shingoni ndio project yenyewe ss MLIENDA STUDIO LINI NA MKAREKODI LINI NA NYIMBO MLIANDIKA LINI MPAKA FASTA MUANZE KUSHOT VIDEO NA HIYO VIDEO HAINA DIRECTOR n mm ckuwahi kuambiwa kama sintah ni mtengeneza video mmmh shemej so you know zari ni mtu mzima ana watotoana ameachwa na mumewe ana history ya kupenda ndogo ndogo na kuwaaribia maisha...if you lov ur career stick to it ila ukisema ufanye vitu kumkomoa mtu end of time ss ni mashabiki kama tunaweza kukupandisha naiman hata kukushusha tunawez sio kwa ubaya lkn ila his fake promises zako za something big is coming plz ur a business man try to keep ur promic......nitaendelea

#Team_Wema Yamuweka Diamond Kitako..."Zari Ni Mwanamke Anayependa Kuchezea Ndogondogo"
Reviewed by Admin
on
Monday, November 10, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano