KESI ya msanii muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid Benz’, imeahirishwa tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hadi Desemba Mosi mwaka huu.
Msanii huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kuletvya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jiji Dar es Salaam wakati akisafiri kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya kutumbuiza. Upande wa mashitaka ukiongozwa na Mwanaamina Komba, mbele ya Hakimu Waliarwanda Lema, umesema upelelezi bado haujakamilika.

Kesi Ya Chidi Benz Ya Kuhusishwa Na Madawa Ya Yarushwa Hadi Disemba Mosi
Reviewed by Admin
on
Tuesday, November 11, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano