Unordered List

Definition List

Jackline Wolper Awaumbua Wanaomsema

STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amewabwatukia baadhi ya watu wanaomsema kuwa kafulia na kudai hawajitambui na wanapenda kuzungumza vitu ambavyo hawana uhakika navyo.


Akizungumza na chanzo hakika, Wolper alisema anashangazwa na watu ambao wanaojifanya ni watabiri wa maisha yake wakati hakuna hata mmoja ambaye anajua ni wapi alipotokea, wanamzushia na kumuandika mitandaoni.

“Jamani kuna watu ambao wanajifanya ni watabiri katika maisha ya watu na ni vyema kila mtu akafuata mambo yake na kuangalia zaidi vya kwao na siyo kunifuatilia leo nimefulia au leo niko sawa, wanaboa sana,” alisema Wolper pasipo kuwataja majina.
Jackline Wolper Awaumbua Wanaomsema Jackline Wolper Awaumbua Wanaomsema Reviewed by Admin on Monday, November 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.