Unordered List

Definition List

Esha Buheti Adai Hawezi Kuchora Tatoo, Ni Kinyume Na Dini Yake

Baada ya kujiapiza kifo hawezi kuhusishwa na usagaji, Esha Buheti amerudi tena kwa vyombo vya habari kudai kuwa kamwe hawezi kuiga mambo ambayo ni kinyume na dini...kujitora tatoo mwilini.


Akizungumza na chanzo klozi na dada huyu, Esha alisema kuwa kitu ambacho anahisi inaweza kuwa ni moja ya dhambi mbaya kabisa ni kujichora tatuu mwilini kwani katika dini yoyote au dhehebu lolote halikubali mtu kujichora vitu tofauti na uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

“Nitaiga vitu vingine kama mavazi na hata nywele lakini siyo kujichora tatuu katika mwili wangu maana ni vitu hatari sana na vinakatazwa kabisa katika dini yangu ya Kiislamu,” alisema Esha.
Esha Buheti Adai Hawezi Kuchora Tatoo, Ni Kinyume Na Dini Yake Esha Buheti Adai Hawezi Kuchora Tatoo, Ni Kinyume Na Dini Yake Reviewed by Admin on Monday, November 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.