Unordered List

Definition List

Jokate Atoa Sababu Za Kuwa Na Wanaume Wengi

Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi.

Mwanamitindo na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Jokate alisema amekuwa akipata malalamiko kutoka kwa watu wengi kuwa kampani yake kubwa ni wanaume hadi wengine kumuona ni malaya wakati si kweli.
“Watu wengi wanasema mimi malaya kwa sababu ya ukaribu wangu na wanaume lakini ukweli ni kwamba kampani yangu ya kike kubwa ipo nje ya nchi, sina jinsi,” alisema Jokate
Jokate Atoa Sababu Za Kuwa Na Wanaume Wengi Jokate Atoa Sababu Za Kuwa Na Wanaume Wengi Reviewed by BkuHabari Admin on Monday, November 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.