Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Abanana Na Socialite Tajiri Zaidi Afrika Mashariki, Kuna Kutu Kinachokua?

Ni baada ya huyu mdada kutoka Uganda ZARI a.k.a The boss lady socialite tajiri zaidi Afrika Mashariki nzima mwenye gari na nyumba za kifahari kuwa karibu awali na "sukari ya warembo".


Licha ya kupanda ndege moja hadi Tanzania na kupost picha zao Instagram chanzo cha karibu na wawili hawa kinasema kuwa binti huyu na Diamond walifika wote airport ili kujiandaa na safari ya kuingia Tz.

Awali inasemekana wawili hao walikua karibu kitu kilichofanya wapeane kampani waje na ndege tarehe moja, ratiba moja, kwa siti moja. Hii imekuja wakati ambao kuna tetesi kuwa Diamond Platnumz ameachana na mpenzi wake Wema Sepetu.
Diamond Platnumz Abanana Na Socialite Tajiri Zaidi Afrika Mashariki, Kuna Kutu Kinachokua? Diamond Platnumz Abanana Na Socialite Tajiri Zaidi Afrika Mashariki, Kuna Kutu Kinachokua? Reviewed by Admin on Saturday, November 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.