Unordered List

Definition List

CNN Yachanganyikiwa, Yaandika Obama Ameuliwa Kwa Habari Zake

Owk wiki iliyopita ilikuwa ni kusherehekea kifo cha Osama bin Laden, jamaa aliyeitikisa Marekani zaidi ya karne moja. So kando la kusherehekea siku hio mwanajeshi flani kwa jina Robert O'neill aliibuka na kudai kuwa yeye ndiye aliyemuua Osama, jambo ambalo lilipigwa na mwanajeshi mwenzake na kudai kuwa yeye pia alimuua Osama stori yenyewe hii hapa


So kando na kuzuka mikinzano hii yote, CNN walikuwa mbioni nao kama channel ya habari kuchapisha habari hio kwa tv yao lakini haraka yao iliwafanya kufananisha neno la Osama kama Obama
Kulingana na wadadisi Sydney Morning Herald, walidai kuwa makosa hayo yalifanyika wikendi katika kipindi cha Erin Burnett OutFront ambap makosa hayo waliwekwa hapo kwa muda wa sekunde 45 kabla kurekebishwa.

Kama kawaida makosa haya yalionekana na watazamaji na wakarusha picha hio fasta kwa mitandao ya kijamii.
CNN Yachanganyikiwa, Yaandika Obama Ameuliwa Kwa Habari Zake CNN Yachanganyikiwa, Yaandika Obama Ameuliwa Kwa Habari Zake Reviewed by Admin on Monday, November 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.