Staa wa kunen'gua maono ambaye pia anaaminika kuwa queen of video vixen Agness Masogange amefunguka kuwa hatorudi nchini Bongo hivi karibuni.
Akiongea na paparazi aliyetaka kufahamu mipango ya dada huyu, Masogange amedai kuwa maisha ya nchini South Afrika ni matamu zaidi na haoni haja ya kurudi nchini Tanzania wakati wowote hivi karibuni.
“Bongo kwa sasa wasubiri kwanza kwani kuna vitu muhimu sana nafanya huku na nikishakamilisha nitakuja Bongo kidogo kusalimia maana siku hizi si unajua ni wa hukuhuku,” alisema Masogange.
Tukio hili limejiri siku chache baada ya mpenzi wa zamani wa Masogange kudai kuwa ameingiwa na uchungu wa kutemwa na Masogange
Masogange mwezi juzi aliweza kukamisha stakabadhi za kuwa na uraia wa South Afrika na Tanzania

Agness Masogange Adai Haturodi Bongo Hivi Karibuni
Reviewed by Admin
on
Monday, November 24, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano