Unordered List

Definition List

Esha Buheti Ajiapiza Kifo Kisa Ni Usagaji

STAA wa Bongo Movies, Esha Buheti amejiapiza kiapo cha kifo kwa kusema kuwa kama ipo siku atajaribu mchezo wa usagaji basi atakapomaliza tu litokee gari na kumkanyaga na kufa.


Akizungumza na paparazi kutoka GPL, Esha alisema kuwa alishajiapiza kwa kutumia Msahafu ya kuwa kamwe hawezi kufanya tendo hilo akiamini kuwa liko kinyume kabisa na Mwenyezi Mungu.

“Kwa kweli mimi nikifanya usagaji siku hiyo nikimaliza tu wakati natoka basi lije gari tena kubwa na kunigonga nife kabisa,” alisema Eshe.Hivi karibuni vitendo vya kisagaji vimeshamiri kwa kasi huku mastaa wengi wa filamu wakitajwatajwa kujihusisha navyo.
Esha Buheti Ajiapiza Kifo Kisa Ni Usagaji Esha Buheti Ajiapiza Kifo Kisa Ni Usagaji Reviewed by Admin on Monday, November 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.