Rihanna amerudi Instagram officially. Staa huyu wa nyimbo maarufu Carlifonia King Bed amewashangaza mafans wake kwa kupost picha ya kwanza tangu mwezi wa Mei kwa kurudi na akaunti yake ya @badgalriri.
Riri alisambaza picha ya pinafsi kutoka kwake na kuambatanisha maneno: Hellurr#badgalback.
Riri mwezi Mei kufungiwa akaunti yake ya Instagram baada ya kuweka picha za uchi zikionyesha chuchu zake kweupe.
Owk kila mtu anafahamu kuwa upigaji wa chuchu kwa wanawake ni marufuku kwa mtandao wa Instagram hadi wa sasa, labda kufanyiwe mabadiliko kiasi kwa mtandao huo wa kijamii.
Kando na kupiga hio picha, Riri alijitambulisha kuwa 'badgirl' amerudi officially kwa mtandao wa Insta so mengi yanatarajiwa kutoka kwake.

Rihanna Arudi Instagram Officially, Tutarajie Mapya Gani?
Reviewed by Admin
on
Monday, November 03, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano