Staa wa bongo movies Kajala Masanja ambaye anafahamika sana kwa ustadi wake wa kucheza filamu za kibongo anajutia kwa nini anatumia vileo.
Akiongea na chanzo cha karibu na kwake, Kajala alifunguka kuwa ile siku aliyepiga mitungi hatosahau tena kwani ilifanya kuuguza vidonda vya matumbo kwa muda mrefu
“Najuta mwenzenu siku ile kunywa pombe maana maumivu niliyoyapata sitayasahau, nafikiri huu ndiyo utakuwa mwisho wangu kunywa pombe,” alisema Kajala.

Kajala Ajuta Kwa Kutumia Pombe, Auguza Vidonda Vya Matumbo
Reviewed by Admin
on
Saturday, November 08, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano