Owk Diamond Platnumz leo officially anaachilia kibao chake kipya "Ntampata Wapi?". Mida ya mchana kibao hicho kitakuwa online. Waweza kuadd Whasapp yetu +254707917370 kwa kututumia ujumbe 'UNGANISHA' nikuletee latest direct kwa Whatsapp yako
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano