Unordered List

Definition List

LATEST: Wema Sepetu Na Vj Penny Watupilia Mbali Ugomvi Wao, Sahizi Wamekuwa Marafiki

Huku kukiendelea kuvuma uvumi na stori ya Diamond Platnumz kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Zari aka The Boss Lady ...upande wa pili ni kuwa Wema Sepetu finally amesameheana na rafiki yake wa zamani mtangazaji VJ Penny.


Tukio hili lilitokea usiku wa jana ambapo wawili hawa walipatanishwa na Junaitha ambaye aliandaa chakula cha usiku katika hoteli ya Sea Cliff Hotel Dar es Salaam.

Owk...hio ndio stori ya mji....tutarajie mapya na latest pindi matukio yanavyofunguka
LATEST: Wema Sepetu Na Vj Penny Watupilia Mbali Ugomvi Wao, Sahizi Wamekuwa Marafiki LATEST: Wema Sepetu Na Vj Penny Watupilia Mbali Ugomvi Wao, Sahizi Wamekuwa Marafiki Reviewed by Admin on Sunday, November 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.