Nchi ya uingereza imepania kuzindua noti za plaskini kwa wananchi wao. Benki kuu ya uingereza imeanzisha utafiti wake kwa raia kuuliza hisia zao kuhusu hili jambo.
Noti hizi zimetengenezwa kwa plastiki na zinatarajiwa kutumika rasmi mwaka wa 2016 kama zitakubaliwa.
Manufaa ya matumizi ya noti hizi ni kuwa:
Noti hizi zimetengenezwa kwa plastiki na zinatarajiwa kutumika rasmi mwaka wa 2016 kama zitakubaliwa.
Manufaa ya matumizi ya noti hizi ni kuwa:
- Zina maisha marefu mara 2.5 ukilinganisha na zile za karatasi.
- Ni rahisi kukabiliana na noti bandia
- Zinaweza kustahimili unyevu na pia ushikaji mbaya wa noti hizi
- Pia itakuwa rahisi kuzihifadhi kwani ni nyembamba na nyepesi
Noti Za Plastiki Kuzinduliwa Uingereza
Reviewed by Admin
on
Friday, October 11, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano