Unordered List

Definition List

Je, Kupiga Punyeto Hadharani Nchini Sweden Yakubaliwa?

Tendo la kupiga punyeto ni jambo ambalo halikubaliki na wanajamii wengi na linaonekana kama jambo lisilo la maadili lakini waswidi wamelijeuza jambo hili na kulifanya kama jambo ambalo ni la kawaida na popopte linaweza kufanyika.

Jamaa wa miaka 65 wa Stockholm alishtakiwa kwa kosa la kupiga punyeto hadharani, katika ufuo wa bahari ya umma. Alishtakiwa kwa kosa la ukiukaji wa jinsia lakini aliachiliwa huru na korti ya Wilaya ya Sodertorn.

Kukabiliana swala hili tata, korti hiyo walitengeneza sheria ambayo itaruhusu kupiga punyeto hadharani ilimradi tu usijaribu kumlenga mtu yeyote.

"Tunaweza kudhihirisha kuwa ni sawa kupiga punyeto katika fuo za bahari. Lakini kitendo kama hicho kitaonekana kama upunguvu wa akili." hakimu Olof Vrethammar aliuambia mtandao mmoja wa habari nchini humo.

Je, Kupiga Punyeto Hadharani Nchini Sweden Yakubaliwa? Je, Kupiga Punyeto Hadharani Nchini Sweden Yakubaliwa? Reviewed by Admin on Saturday, October 12, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.