Unordered List

Definition List

Filamu Za Tanzania Zatajika Ugaibuni

Filamu za Kibongo zimevuka mipaka baada filamu ya 'Mdundiko' kuchukua tuzo la Silicon Valley African Festval(SVAFF) nchini Marekani. 

Filamu hii imeongozwa na producer Timoth Conrad na iliweza kuibuka bora baada ya kushinda filamu nyingine ambazo ziliwekwa katika kategoria moja. Filamu hii ilichukua tuzo hilo katika kategoria ya  Achievement Narrative Film.

Filamu hii iliweza kushirikisha waigizaji watajika kama vile Jengua, Tinno, na Dokii.

Muvi hii inatarajiwa pia kushiriki katika tuzo la filamu bora asili nchini Uingereza tarehe 16 Novemba mwaka 2013
Filamu Za Tanzania Zatajika Ugaibuni Filamu Za Tanzania Zatajika Ugaibuni Reviewed by Admin on Wednesday, October 16, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.