Unordered List

Definition List

Afumaniwa Akila Uroda Kwa Jirani

Jamaa anayesifika kwa kutongoza wake za watu alifumaliwa karibu kuanza kitendo katika mtaa mmoja huko Uyole. Jamaa huyo alikujulikana sana kwa kuwavizia wake za watu na alipewa jina la utani 'Ulavu'. Jamaa mmoja ambaye hakutaka kutajwa jina lake alisema alienda kumjulisha mume wa bibi baada ya kuufahamu mpango huo. Mume wa bibi kawaida hufanya kazi katika shirika moja la kuunda vyuma mjini Mbeya na mara nyingi alikuwa shughli kikazi. Mume huyo kupata habari hizo aliamua kufanya uchunguzi wake kwa kina lakini hakufaulu mpaka akaamua siku moja kutokwenda kazini kama kawaida. Jamaa huyo mzinzi kama kawaida alijua mume wa bibi atakuwa ameenda kazini. Lakini mambo yalijeuka ghafla baada ya kufumaniwa ndani ya nyumba ya bwana huyo akiwa nusu uchi. Alitaka kuomba msamaha lakini bwana wa bibi huyo alimshambulia kwa viboko na mateke. Ilichukua zaidi ya masaa matatu kumaliza ugomvi huo.
Afumaniwa Akila Uroda Kwa Jirani Afumaniwa Akila Uroda Kwa Jirani Reviewed by Admin on Thursday, October 03, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.