Unordered List

Definition List

Polisi Wanaswa Wakisafirisha Magunia Ya Bangi

Taita Taveta. Polisi wanne wamejikuta pabaya baada ya kunaswa wakisafirisha magunia ya bangi. Polisi hao wanne walikamatwa na polisi wengine waliokuwa doria katika jimbo hilo. Bado haijabainika polisi hao walikuwa wakisafirisha misokoto hiyo ya bangi wapi. Polisi hao walikuwa wakitumia usafiri wa gari la polisi.

Sekta ya usalama imekashifiwa pakubwa kuwa inachangia kudorora kwa usalama sehemu hio. Miezi iliyopita mwanabiashara mmoja wa Nigeria aliyefumuliwa kutoka Kenya alipatikana akiwa kenya na baada ya kuhojiwa ilidhibitika kuwa alipitia alipitia kati ya mpaka wa Kenya na Tanzania kupitia kwa rushwa aliyowahonga walinda mipaka.
Polisi Wanaswa Wakisafirisha Magunia Ya Bangi Polisi Wanaswa Wakisafirisha Magunia Ya Bangi Reviewed by Admin on Wednesday, October 09, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.