Unordered List

Definition List

Msanii Wa Kenya Ashinda Tuzo La 17th Hollywood Film Awards

Lupita Nyong'o katika Hollywood Film Awards
Mwanadada Lupita Nyong'o amegonga habari baada ya kushinda tuzo katika 17th Hollywood Film Awards iliyofanyika sehemu ya Arclight Cinemas, Hollywood, Carlifornia.

Msanii huyu ambaye sahizi anatoa filamu na mastaa watajika kama Brad Pitt, ametajwa kuwa msanii asiyejulikana lakini ataitetemesha Hollywood hivi karibuni.

Mtandao wa E! Online,walimpongeza kwa jinsi alivyovalia wakati wa tuikio hilo.

Msanii huyu ameigiza katika filamu ya '12 Years A Slave' ambayo ameigiza na wasanii wakiwemo Brad Pitt na Michael K. Williams.

Pia mwigizaji huyu amepewa nafasi ya kuigiza katika filamu nyingine ya hollywood ya 'Non-Stop' ya Liam Neeson itakayotoka mwaka wa 2014

Cheki video wakati wa kupokea tuzo hilo:


Msanii Wa Kenya Ashinda Tuzo La 17th Hollywood Film Awards Msanii Wa Kenya Ashinda Tuzo La 17th Hollywood Film Awards Reviewed by Admin on Saturday, October 26, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.