Unordered List

Definition List

Rihanna Adengua Kiuno Juu Chini Akiwa Amevalia Bikini

Rihanna amerudia mambo yake ya kujikumbusha. Wakati huu ameamua kuvua nguo zake zote na kubakia na bikini pekee nchini Ugiriki.

Msanii huyu ameonyeshwa katika video hii akiwa anadungua kiuno huku amesimama juu chini kuashiria vile ana maungo laini.


Cheki video:
Hili si jambo geni kwa Rihanna kwani ashawahi kufanya hivi kitambo na wala haitakuwa mara yake ya mwisho.

SNURA: Kiuno Changu Kimewazuzua Wengi

Rihanna yuko katika ziara ya 'Diamonds World Tour' ambapo anazuru nchi kadhaa ulimwenguni.


Unaweza pia kuangalia zile
picha ambazo zilizomfanya Rihanna afukuzwe katika msikiti Grand Mosque, Abu Dhabi.
Rihanna Adengua Kiuno Juu Chini Akiwa Amevalia Bikini Rihanna Adengua Kiuno Juu Chini Akiwa Amevalia Bikini Reviewed by Admin on Friday, October 25, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.