Unordered List

Definition List

Justin Bieber Hatofungwa, Lakini Jaji Amuonya Aache Utoto Mwingi

Baada ya kisa cha mwezi mei 27, kesi ya Justine Biebier imetupiliwa mbali baada ya kutokuwa na ushahidi wa kutosha. Majirani wa mwanamziki huyu wa miaka 19 walimshtaki kwa kuendesha gari lake la Ferrari kwa kasi na jirani mmoja alipojaribu kwenda kuongea naye kuhusu hilo jambo mwanamziki huyu alimfokea kwa matusi na inadaiwa alimtemea mate.

Ushahidi kutoka kwa kamera ingawa zilionyesha huo wakati Bieber alikuwa nyuma ya Ferrari hio akiendesha pikipiki. Jaji aliamua kutupilia kesi hio lakini alimuonya msanii huyo aliye maarufu sana kwa vijana kuwa aache utoto mwingi na ashughulikie mambo muhimu.

Msanii huyu alayejulikana sana na nyimbo yake 'all around the world' ameamua kubadili mienendo yake na kujiikita zaidi katika kanda ya mziki.
Justin Bieber Hatofungwa, Lakini Jaji Amuonya Aache Utoto Mwingi Justin Bieber Hatofungwa, Lakini Jaji Amuonya Aache Utoto Mwingi Reviewed by Admin on Sunday, October 06, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.