Karibu kila mtu ashawahi kufanya hivi, kufuta faili kibahati mbaya katika kompyuta yako au kufuta faili muhimu katika memory card ama katika hard disk yako ya kompyuta. Halafu ukajaribu kuangalia katika recycle bin bila mafanikio.
Jambo hili hukatisha mtu moyo kama una jambo muhimu ulilokuwa unataka katika faili uliopoteza lakini suluhisho limepatikana.
Restoration ni programu ya bure itakayokusaidia kuzivumbua faili ambazo umezifuta zikiwemo katika hard drive, diskette, USB thumb drive na hata kwa memory card. Ukweli ni kwamba Windows kwa kawaida haiharibu faili ambazo umezifuta bali huacha nafasi ili kuweza kuwekwa faili nyinine mpya. Kuzivumbua faili ulizozifuta ni muda mfupi sana.
Uzuri wa hii programu ni kuwa ni rahisi kupekua faili zako ulizozifuta huku ukichuja faili muhimu unazozihitaji. Ukianza kuzivumbua faili zako utaona faili nyingi sana ambazo ziko kaika orodha maalumu.
Hii programu ni rahisi kuitumia kwani si lazima uweze kuinstall kwa tarakilishi yako bali ni kuidownload na kuitumia bila wasiwasi. Niliweza kupata faili zangu muhimu nilizozifuta na ilikuwa jambo rahisi kwangu.
Programu hii inasupport:

- Microsoft Windows 2000
- Microsoft Windows 98
- Microsoft Windows ME
- Microsoft Windows 98
- Microsoft Windows ME
- Microsoft Windows XP
Jinsi Ya Kupata Files Zako Zilizopotea Katika Disketi au Memory Card
Reviewed by Admin
on
Friday, October 04, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano