Unordered List

Definition List

Rihanna Nusu Uchi Katika Gazeti La Vogue

Rihanna msanii anayejulikana ulimwengu mzima kwa sauti ya kutoa nyoka pangoni wakati huu ameamua kupiga picha na gazeti la Vogue.

Upigaji huu wa picha la gazeti hilo ulifanyika nchini Brazil. Riri aliweza kupiga picha hizo akiwa nusu uchi, kifua wazi.

Huku akizungukwa na makumi ya wapiga picha, Riri hakuwa mwoga kuonyesha maungo yake hapo chini.

Rihanna Nusu Uchi Katika Gazeti La Vogue Rihanna Nusu Uchi Katika Gazeti La Vogue Reviewed by Admin on Thursday, January 16, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.