Unordered List

Definition List

Video Ya Mbwa Acheza Dansi Ya Gangnam Style(VIRAL)

Kama umedhania  densi ya gangnam style imefifia basi umekosea.

Densi hii ilioanzishwa na msani wa Korea PSY umerudi kwa vishindo, round hii ni si kwa binadamu bali kwa wanyama.

Kabla hujaiangalia video yenyewe hebu nikupe info kuhusu huyu mbwa.

Jina lake laitwa Nathan na ni mbwa ambaye hana nywele na anapenda hairstyle kama ile ya Miley Cyrus na anapenda kutingisha.

Cheki video yenyewe hapa chini:


Mbwa akicheza Gangnam Style
Video Ya Mbwa Acheza Dansi Ya Gangnam Style(VIRAL) Video Ya Mbwa Acheza Dansi Ya Gangnam Style(VIRAL) Reviewed by Admin on Saturday, January 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.