Unordered List

Definition List

Diamond Platinumz Anahusishwa Na Uchawi, Siri Inafichuka!!

Diamond Platinumz
 


DIAMOND PLATINUMZ anatumia nguvu za kishetani kupata umaarufu? Habari iliyodondoshwa katika blog moja ya udaku ilikuwa na habari hio:

IMEBAINIKA kwamba msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania,Nassib Abdul Mohamed maarufu kwa jina la (Diamond Platnumz) anatumia nyota za wanawake katika kujipatia umaarufu, habari za ndani zinazomhusu msanii huyo zinadai kwamba amekuwa akitumia nyota za wasichana mbalimbali nchini kujipatia umaarufu.
Matunguli ya Uchawi, kwa ajiri ya ramri

Taarifa za ndani zilizonaswa na Papaprazi wetu kutoka kwa watu wake wakaribu zinadai kwamba msanii huyo ana amini katika ushirikina na kwamba anamganga wake wa kienyeji anayemtengezea nyota yake, kutokana na nyota za wasichana anao kuwa nao kimapenzi, ambapo anatumia nguo zao za ndani ,leso zao za kujifutia jacho pamoja na picha zao za kiganjani.

Taarifa zaidi zinaeleza kwamba baada ya Diamond kupeleka vitu hivyo kwa mganga wake, ambaye huviingiza katika luninga yake na kupiga ramri yenye nguvu ya kutambua nyota za msichana husika, baada ya hapo Diamond hudumu na msichana huyo mpaka atakapobaaini kwamba amekomba bahati zake zote kisha anatafuta sababu za kumuacha.

"Diamond hafai kabisa ni mshirikina ni mchawi, anaroga watu hususan wanawake,Diamond akikutaka kimapenzi ujue kwamba ukiachana naye lazima ufirisike ama uyumbe na kama ukiwa maarufu lazima umaarufu wako uporomoke, epu fanya utafiti kuanzia kwa wasicha wote aliowahi kutembea nao, tangu alipopata umaarufu mfano, alipokuwa na Wolper kila mtu anajua maisha ya Wopler pamoja na umaarufu wake ulivyokuwa,mtizame Wolper alivyo hivi sasa kama vile kachanganyikiwa"kilisema chanzo chetu na kuongeza:
Diamond Platinumz Anahusishwa Na Uchawi, Siri Inafichuka!! Diamond Platinumz Anahusishwa Na Uchawi, Siri Inafichuka!! Reviewed by Admin on Monday, December 02, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.