Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipoleo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym tuzidikufanya vyema....
Shukrani zangu nyingi ziende kwa ashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine...Next stop#BET!!!... Asante sana#Sheriangoikwa Suti Hii.
Alichokisema Diamond Platinumz Baada Ya MTV MaMas
Reviewed by Admin
on
Sunday, June 08, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano