Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Na Nguo 'Mgongo Wazi' Akiingia Shopping

Hatutarajii kuona picha za bikini za Kim Kardashian mara kwa mara kwa kuwa sahizi Kim ameshavishwa pete na ana majukumu ya kumlea mtoto wake ambaye sahizi ametimia mwaka mmoja.

Lakini kile ambacho kitakuwa sapraiz kwetu ni kuona fasheni kutoka kwa staa huyu wa kipindi cha KUWTK.

Tukiongea fasheni, staa huyu anayeandamwa na mapaparazi kama nzi siku ya Jumatatu aliwashangaza mafans wake kwa kuvalia nguo ya mgongo wazi ambayo imeonyesha sidiria yake.

Akiwa amevalia nguo nyeupe, Kim ameonekana akitembea bila wasiwasi akiingia Calabasas kufanya shopping, dalili kuonyesha ametamani kuwa huru kuuonyesha mgongo wake.

Cheki picha





Kim Kardashian Na Nguo 'Mgongo Wazi' Akiingia Shopping Kim Kardashian Na Nguo 'Mgongo Wazi' Akiingia Shopping Reviewed by Admin on Tuesday, June 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.