Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Video Game: Hivi Karibuni Itakuwa Madukani

Kama tu vile video ya ngono ya Kim Kardashian, video game ya Kim Kardashian tunatarajiwa kutolewa hivi karibuni.

Hakuna mtu aliyetarajia kuwe na jambo kama hili.

Lakini kwa uhakikisho Kim Kardashian kwa akaunti yake ya Instagram siku ya jana aliweka teaser photo na kuambatanisha haya maneno:
"Sneak peak from my upcoming project! Super excited about this!#KimKardashianGame."

Leo pia alirusha picha nyingine akiwa recoding studio, akitoa sauti vya gemu yake hio mpya.

Hakuna zaidi kilichoongezewa.

Swali sasa ni je hio video game mtu atapata points vipi? Ama itakuwa nikupiga picha za utata kuonyesha kifua? Ama kupiga pozi katika magazeti ya udaku?

Maswali ni mengi ya kuuliza lakini acha tuangalie kitakachojiri
Kim Kardashian Video Game: Hivi Karibuni Itakuwa Madukani Kim Kardashian Video Game: Hivi Karibuni Itakuwa Madukani Reviewed by Admin on Wednesday, June 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.