Unordered List

Definition List

Venus William Uchi Mnyama Katika Gazeti La

Tennis star Venus Williams alipiga picha uchi katika photo cover ya gazeti.

Staa huyu ambaye anajivunia kuchukua taji la Wimbledon champion pia amefunguka kuhusu kupigana kwake na ugonjwa wa Sjogren's syndrome amayo husababishwa na kushambuliwa kwa chembechembe za damu.

Venus amefunguka katika gazeti hilo la ESPN Magazine kuwa wakati fulani maishani mwake ilikuwa ni vigumu kwake kucheza mchezo wa tennis
Venus William Uchi Mnyama Katika Gazeti La Venus William Uchi Mnyama Katika Gazeti La Reviewed by Admin on Wednesday, June 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.